Subscribe to receive latest Updates

Wednesday, April 20, 2016

WAZIRI WA AFYA, UMMY MWALIMU ATOA HUNDI KWA WAJASIRIAMALI WALIONUFAIKA NA BENKI YA DCB.


 Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi tuzo Mbunge wa Njombe Kusini, Edward Mwalongo kwa kwa kupaza sauti katika bunge juu ya mtoto wa kike kupewa dhana ya kujikinga wakati wa hedhi ili aweze kusoma katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam


 Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi hundi ya sh.milioni tano, Dereva wa Bodaboda, Sikudhani Daudi zilizotolewa na Benki ya DCB ikiwa na lengo ya kukuza biashara katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.Wanawake wakiwa wameketi wakimsikiliza Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (hayupo pichani) katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.
Wanawake katika vikundi vilivyopata mkopo katoka kwa benki ya DCB wakiwa katika picha ya pamoja na hundi zao leo katika siku ya maadhimisho ya siku ya wanawake Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja Biafra leo.


 Wanawake wa Mamlaka wa Chakula na Dawa (TFDA) wakiwa na bango katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.
DCB YATOA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 10 KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI CHANIKA, DAR ES SALAAM. TUKIO HILO LILIFANYIKA KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MARCH 2016


 
@ 2002 - 2013 DCB Commercial Bank Plc.. Haki zote zimehifadhiwa
.
Best Blogger Gadgets